<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>44</hymn_number>
<title>Kukawa Na Giza Dunia Yote TZR44</title>
<lyrics>[V1]
 Kukawa na giza dunia yote,
 Ni Mwanga wa ulimwengu,
 Ikaisha ulipokuja yote,
 Ni mwanga wa ulimwengu.

[V2]
 Jua, Yesu hana mwenziwe!
 Nalipofuka kama wewe:
 Nakuombea umwone nawe,
 Ni mwanga wa ulimwengu.

[V3]
 Hatuna giza tudumuo mwake,
 Ni mwanga wa ulimwengu;
 Tumwandamiapo nyayoni mwake
 Ni mwanga wa ulimwengu.

[V4]
 Enyi wa gizani wenye kutanga!
 Ni mwanga wa ulimwengu,
 Kaulekeeni, mpate lenga;
 Ni mwanga wa ulimwengu.

[V5]
 Tutamwona Mwokozi juu ya mbingu
 Ni mwanga wa ulimwengu:
 Ni nuru za mbingu kondoo wa Mungu
 Ni mwanga wa ulimwengu.</lyrics>
</song>